Itakuaje manchester united!!

Itakuaje manchester united!!

Joined
Apr 4, 2014
Posts
55
Reaction score
6
Jaman hv manchester united itakuaje kama wakisajiliwa mashine hz!!
{kroos,cavani,baloteli,reus,wilian carvalho,gundogan,pedro}!!
 
Acha kuota ndoto za mchana wewe!!!!
 
Ukifulia noma Sana, wakati wenzenu saizi wako busy kufanya finishing za kubeba ubingwa nyie mnajifariji na wachezaji wa timu zingine...

Katika hao sioni atakayekubali kuota moto Jumanne na Jumatano usiku wakati wanaume wanaumana kwenye Champions League ambayo msimu ujao United watabaki kusikiliza kale ka wimbo kwenye simu Tu.
 
wapenz wa man u mwakan sherehe 2
 
Toa Cavan, Balotelli, Pedro. Hakuna kitu hapo
 
Jaman hv manchester united itakuaje kama wakisajiliwa mashine hz!!
{kroos,cavani,baloteli,reus,wilian carvalho,gundogan,pedro}!!

msimu unaofuata,itashuka daraja,kwenda kupigana vikumbo na kina qpr,leeds,wigan n.k sababu hapo ukitoa kroos na willian yaliyobaki majokeli
 
Ukisikisikia mwanzo wa ngoma lele ndo hiyo, huu ndo mwanzo wa Man u kuaga sherehe za vikombe, kwshney!
 
Hizi ndoto za mchana kazi kwelikweli
 
Ukifulia noma Sana, wakati wenzenu saizi wako busy kufanya finishing za kubeba ubingwa nyie mnajifariji na wachezaji wa timu zingine...

Katika hao sioni atakayekubali kuota moto Jumanne na Jumatano usiku wakati wanaume wanaumana kwenye Champions League ambayo msimu ujao United watabaki kusikiliza kale ka wimbo kwenye simu Tu.

Teeehhhh....teehhh..umenifurahisha kweli mkuu..mwakan wakijitahidi sana watakuwa nafasi ya 15
 
Jaman hv manchester united itakuaje kama wakisajiliwa mashine hz!!
{kroos,cavani,baloteli,reus,wilian carvalho,gundogan,pedro}!!

Jifunze SPURS inachkua muda gani wachezaji wote hao kuja kuperfom na kujuana, Prof. Wenger anasema Mwisho ni wachezaji watatu tu, ndipo utakapo weza kustabilize team lakini wachzaji zaidi ya hapo kwenye 1st Eleven ni majanga.
 
Back
Top Bottom