Itakucost ukifanya na usipofanya

Kwa nini siku hizi Umekuwa Mjinga kiasi hiki.............................Umeandika nini sasa kama huna cha kuchangia si usome tu..............!!!!
Hongera kwa kuweza kutusi...nacho ni kipaji.
 
Sawa mkuu ntayafanyia kaz
 

Post yako nzuri sana nimeipenda. Kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuhusiana na "GOOD DECISICION MAKING" CHAIN. Kumbe huwa inatokea kwa hatua kama zifuatazo
1. BAD DECISION
2. NEGATIVE EXPERIENCE
3. POSITIVE LESSON LEARNT FROM NEGATIVE EXPERIENCE
4. POSIVE EXPERIENCE
5. GOOD DECISSION/BAD DECISION
7. POSIVE EXPERIENCE/NEGATIVE EXPERIENCE
8. POSITIVE LESSON LEARNT FROM POSIVE/ NEGATIVE EXPERIENCE
9. POSIVE EXPERIENCE.......
.
.
.
Kwa hiyo chain ya Good Decision Making nimeona kuwa inajirudia kwa mtindo huo!
Uzuri ni kwamba in either case, the lesson learnt is ALWAYS POSITIVE!
Post yako nzuri sana nimeipenda. Kikubwa zaidi nilichojifunza GOOD DECISICION MAKING CHAIN
 
Namba 3 ni kweli kabisa maana kuna kukurupuka yaan within 1 year
Mtu mmoja anataka alime, afuge, afungue banda la mpira, duka la nguo, ajiunge forex, ajenge nyumba yaan kila jambo hili nalo ni tatizo
 

Thread nzuri sana ila ulipo haribu/umnapo haribu umeshanganya kingeswahili


Samahani Nimewasilisha tuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…