Itakuwa bahati Simba kuwatoa Yanga nusu fainali.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mimi kama mwanachama hai wa Simba na shabiki ndakindaki nina wasiwasi na na uwezo wa Simba kuchukua kuwatoa Yanga nusu fainali kutokana na mizaha ya Simba halafu isitoshe Yanga hawana tena presha kwenye ligi maana ubingwa upo wazi.

Simba ya awamu hii imekuwa na desturi ya kudharau mechi za ndani hasa kwa awamu hii chini ya kocha Pablo, angalia mechi zote za ligi walikuwa wanapoteza na draw za kimasihara hadi unajiuliza hii ni Simba ile tunayoona kimataifa ikifanya vizuri na kuonyesha mchezo mzuri? Simba ya kimataifa ni tofauti na hii simba ya ligi kuu.

Mpaka sasa first 11 haijulikani mbali na mabeki,hata kama wachezaji ni wabovu lakini first 11 ni muhimu kila mechi kati na forward wanacheza bila chemistry na magoli yanayopatikana siyo ya kimfumo ni juhudi ya mchezaji mmoja mmoja, basi mchezaji akiamka na mood mbaya basi mtegemee draw,pia spirit ipo low siyo simba ile mpira unapokaribia kuisha dakika 5 nyingi lazima watafunga.

Hii mechi ya FA majeruhi wapo wengi lakini wachezaji wote wa mbadala wamekuwa hawaeleweki pia.

NB: Simba waache kudharau mechi .
 
Thimba
 
Attachments

  • 0qJ27.jpg
    0qJ27.jpg
    134.6 KB · Views: 23

Majeruhi ya muda mrf nani na nani ndugu? Naona presha inaanza kupanda
 
I second you...
 
Unataka uijue sasa hivi first eleven ya Simba ili ikusaidie nini? Hata Yanga itakuwa ni bahati kuitoa Simba Nusu fainali ya FA
 
Derby haijawahi kuwa nyepesi kama unavyoitafsiri mkuu

Nusu fainali hii ina matokeo mawili tu,kufuzu fainali au kutolewa na kama timu yako ikitolewa ni bahati mbaya na kama timu yako ikifuzu tunapaswa kuwapa hongera

Tuwe tunazindaa akili zetu kwa matokeo yoyote yale ya mpira wa miguu
 
Mechi itakuwa ngumu sana kwa pande zote mbili.
Hapa naongea kama mdau wa soka. Na siyo kama shabiki wa Yanga.

Nikiongea kama shabiki wa Yanga; hakika nitaitakia tu ushindi timu yangu ya wananchi! Ubingwa hugeuka kuwa mtamu sana pale tu unapomfunga mtani.
 
Derby haijawahi kuwa nyepesi kama unavyoitafsiri mkuu

Nusu fainali hii ina matokeo mawili tu,kufuzu fainali au kutolewa na kama timu yako ikitolewa ni bahati mbaya na kama timu yako ikifuzu tunapaswa kuwapa hongera

Tuwe tunazindaa akili zetu kwa matokeo yoyote yale ya mpira wa miguu
kwa hii simba na haieleweki kama watakwepo key players game inatabirika ,labda yanga waingie kujilinda lakini amsha amsha simba kazi ipo,maana simba mbele ni butu kweli kweli
 
Kama shabiki wa Yanga naitakia ushindi timu yangu ya wananchi.

Kama mdau wa soka, mechi ni ngumu ngumu kwelikweli. Simba analitaka kombe kuwapoza washabiki wake, mwananchi nae anataka kulipiza kisasi na kumchomesha mahindi mtani kama alivyochomeshwa yeye.

Nani ni nani? Tusubiri jmosi muda utaamua.

ANGALIZO; Usije na matokeo yako mkononi na ushabiki uliopitiliza. Tutakuzika.
 
Siyo wasiwasi bali ni ndo Ukweli, Simba sasa ni chovu kupitiliza, kila sekta ina ngeu hata haieleweki.. Kila mchezaji anacheza kivyake hakuna TEAMWORK,, yaani ni madudu matupu halafu Kocha yupo tu kwenye touchline wala hawakoromei...
Simba wajitathmini upya
 
Back
Top Bottom