Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa Tunaanza Kuhesabu siku za Mzunguko anapoanza Kubleed si anapomaliza... kwahiyo kama Anamzunguko wa Siku 3-5... Tufanye siku 5 basi ... kwahiyo Alianza Kubleed tarehe 25 kwahiyo mpaka Ameenda Kukutana na Jamaa tarehe 5 Alikuwa Danger zone yaani Ndo ilikuwa siku ya 11 kwenye Mzunguko wake... kwahiyo Alifanya Huku Yai likikaribia Kutoka.. na Lilipotoka likakutana Na Mbegu za kiume Akapata Mimba....
Kwahiyo Mimba Yake inaweza ikawa na Siku 30 yaani Mwezi kwa Sasa toka Itungwee Prettinho
na kwa kuongezea tu ni mimba ya mtoto wa kike hilo halina ubishi
Siku5 au saba
Kwa maelezo yako hapo huwezi kuwa mjamzito
Kwa tarehe ulizotaja hawezi kuwa na mimba. Chunguza tarehe zake vizuri.....
Kumbe ni sawa kulingana na Maelezo yangu.. kuwa anamzunguko wa siku 5Siku5 au saba
Tanx alot bt pia ntaka kujua kuhusu hlo,,, inakuwa uhakika mtoto wa kike au ni mipango ya mungu tu,,,,
Ameshapimwa na Amekutwa na Mimba ... someni maelezo yake hapo juu.....
hata kama ana mimba... sio kwa tarehe hizo... kama wewe ndie unayeambiwa mimba ni yako umedanganywa... changa la macho hilo
Kumbe ni sawa kulingana na Maelezo yangu.. kuwa anamzunguko wa siku 5
Hili utaweza kujua Baadae maana wataangalia kwenye Ultra sound... Subiri miezi kadhaa ipite Jinsia Ianze kutengenezwa kwa Sasa Huwezi jua..
Zingine ni Assumption tu