Itakuwa ina siku ngapi?

Prettinho

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
48
Reaction score
2
jamani,,,, naombeni kujua huu ujauzito utakuwa una siku ngapi? amemaliza period yke 30sept na amekutana na mwenza wake 5octber ,, baada ya hpo wiki mbili ndo akaanza kuona dalili,,,,,,
 
Amepima kaambiwa mjamzito bt haujulikani una siku ngapi? bt kumbukumbu zake siku ya mwisho kukutana na mwenza wake ni trhe 5october,,,,, anahisi ndo siku umeingia,,,,,
 
Huwa Tunaanza Kuhesabu siku za Mzunguko anapoanza Kubleed si anapomaliza... kwahiyo kama Anamzunguko wa Siku 3-5... Tufanye siku 5 basi ... kwahiyo Alianza Kubleed tarehe 25 kwahiyo mpaka Ameenda Kukutana na Jamaa tarehe 5 Alikuwa Danger zone yaani Ndo ilikuwa siku ya 11 kwenye Mzunguko wake... kwahiyo Alifanya Huku Yai likikaribia Kutoka.. na Lilipotoka likakutana Na Mbegu za kiume Akapata Mimba....

Kwahiyo Mimba Yake inaweza ikawa na Siku 30 yaani Mwezi kwa Sasa toka Itungwee Prettinho
 
Last edited by a moderator:

na kwa kuongezea tu ni mimba ya mtoto wa kike hilo halina ubishi
 
Last edited by a moderator:
Kwa tarehe ulizotaja hawezi kuwa na mimba. Chunguza tarehe zake vizuri.....
 
wewe ni nani wake...maana unaonekana ni mtu wa tatu kupitia maelezo yako
 
skia,,,kwa kawaida kucalculate gestation each fanya hiv,,,@know the first date of LNMP yan last normal menstural period then add up all the days from LNMP to the date of today ,,after then Divide by seven 7 to get gestation age in weeks,,,,,kwa hyo kama yeye LNMP ilikuwa trh 30 september so mimba yake sa hivi ina wiki tano na sku nne,,,ASANTE
 
Siku5 au saba
Kumbe ni sawa kulingana na Maelezo yangu.. kuwa anamzunguko wa siku 5

Tanx alot bt pia ntaka kujua kuhusu hlo,,, inakuwa uhakika mtoto wa kike au ni mipango ya mungu tu,,,,

Hili utaweza kujua Baadae maana wataangalia kwenye Ultra sound... Subiri miezi kadhaa ipite Jinsia Ianze kutengenezwa kwa Sasa Huwezi jua..

Zingine ni Assumption tu
 
Ameshapimwa na Amekutwa na Mimba ... someni maelezo yake hapo juu.....


hata kama ana mimba... sio kwa tarehe hizo... kama wewe ndie unayeambiwa mimba ni yako umedanganywa... changa la macho hilo
 
Kumbe ni sawa kulingana na Maelezo yangu.. kuwa anamzunguko wa siku 5



Hili utaweza kujua Baadae maana wataangalia kwenye Ultra sound... Subiri miezi kadhaa ipite Jinsia Ianze kutengenezwa kwa Sasa Huwezi jua..

Zingine ni Assumption tu


Hakuna mwanamke mwenye mzunguko wa siku tano na haijawahi kutokea.

Kawaida mzunguko wa hedhi upo mara nyingi 35/34/33/32/31/30/29/28/27/26/25/24/23/22/21/20/ nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…