Itakuwa kesi ya karne spika wa bunge na wenzake mahakamani


Maswala ya kisheria yana intricacies na technicalities lukuki; hakuna tija ya kufanya speculation!

Usiishie kurudi hapa ukilalama kuwa mahakama zetu hazitendi haki, kwa sababu tu matokeo ya kesi yamekuja kinyume na matarajio yako!!!
 
Maswala ya kisheria yana intricacies na technicalities lukuki; hakuna tija ya kufanya speculation!

Usiishie kurudi hapa ukilalama kuwa mahakama zetu hazitendi haki, kwa sababu tu matokeo ya kesi yamekuja kinyume na matarajio yako!!!
Pulchra,
Hakika usemayo ni sawa na kweli kabisa.
Itakapotokea mahakama imetoa hukumu ni lazima iheshimiwe.

Sasa khiyari itabaki kwa muhusika nini afanye baada ya hukumu
ambayo si matarajio yake.
 
Kituko,
Umeniuliza swali ambalo naulizwa kila siku na jibu langu ni kuwa
hata mimi niko katika butwaa.
 
Mimi nimekuelewa mkuu tatizo hapo Kesi mahakamani kitu ambacho kuna baadhi ya wapokea maagizo hawakukitegemea kujumuisha sasa kama wataingiwa na hofu kushidwa kuelewa wajibu nn tayari ni tatizo.Hoja yangu ni kwamba wajitahidi sana kusoma katiba za vyama waweke materials kichwani na Waelewe majukumu yao na mipaka yao mwisho wa siku wawe na cha kujibu.Vinginevyo CUF haitakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kituko,
Umeniuliza swali ambalo naulizwa kila siku na jibu langu ni kuwa
hata mimi niko katika butwaa.

Kweli lazima ushikwe na butwaa, wakati wa kuangaika kutafuta hao wabunge yeye (Lipumba) alikuwa Kigali Rwanda, leo karudi kuja kuvuna asichopanda (Ruzuku) na pia kaja kukivuruga chama na kukitoa kwenye misimamo yake thabiti ya kuishika dola ya Zanzibar
 
Sakasaka,
Ikiwa hufuatilii mambo ya kisiasa na ukawa huelewi ninayoandika hii ni bahati
mbaya kwako huwezi kunilaumu mimi.

Mimi sishabikii chochote huandika nikijitahidi kuandika kitaalamu kwa kadri
ninavyoweza.

Maswali uliyouliza yatajibiwa In Shaa Allah kesi itakapoanza kusikilizwa.
 
Sidhan kama CUF walipiga kura kuchagua Wabunge Viti Maalum,waliandika tu viongozi.
hata kama viongozi waliandika tu lkn ndiyo orodha iliyotumiwa na tume kutangaza majina ya wbunge wa viti maalum hivyo orodha hiyo ndiyo inayotakiwa kutumika. maskini kodi zetu zinatumika vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…