Kuna muda nahisi tatizo hili huenda limetokana na wife coz kipind kama cha miez miwili kila nikitaka mchezo anajifanya amechoka au anaumwa na mm sijuagi kumlazimisha mwanamke hususan mke hali hiyo ilikuwa kwamuda wa miez hyo na ikatokea kudo ndio ikawa hivyo najiona uwezo umepotea. mpaka now na sijawah kudo nje ya ndoa
Mahusiano yenu ndani ya ndoa sio mazuri. kutokana na hilo mapenzi yamepwaya. Hamu tena huna.
Nadhani huna shida yeyote. Ingekuwa si haramu ningekushauri upige mechi ya ugenini kujipima uwezo..