Itakuwa ngumu - Viviani & Q Chief

Itakuwa ngumu - Viviani & Q Chief

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
VIVINI FT Q CHIEF - ITAKUWA NGUMU...

Chorus..
๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
Oooh ooooh oooh oooh

Ningekununulia Gari mama weee!!
La kifahari lakini sina pesa " itakuwa ngumu"

Ningekupeleka shart mama wee!! Unyamwezini lakini sina pesa..

Verse ... 1..( viviani)

Itakuwa ngumu sana umeamka Asubuhi na mapema/ kichwani hakuna kitu zaidi ya heg over ya jana/ mfukoni huna hela/ mwenye nyumba kakusimamia anataka wake ujila/ washkaji wote ulionao hawana Dira/ na sasa je? Kama ujalipa Aaah/ itakuwa ngumu tena ngumu zaidi/ Dem wako anafangilia pesa kuliko yako maisha/ huna kitu Kwa yenye huwezi sema/ haya sasa wenye nazo wanaingia kasi wanakata mikasi/ tena bila wasiwasi vineti vinapungua kwa chart/ huoni itakuwa ngumu wewe kupata tena nafasi/ inakuja na desgn hii nakupenda sana we!/ Ajui akupe nini kwake wewe eti namba one/ sa subili umwambie unataka ujue anapoishi/ akili kichwani kila time yupo busy/ akituma message kupitia hivi/ unajua nini ooh home kuna wageni/ sijui nini kuna hii kumbe kapata chance Eeh Tena kuchart/ na kuingiza wake mpenzi Aaah lazima iwe ngumu kusubili au sio complex....

Chorus ( Q chief)

Ningekununulia Gari mama weee!!
La kifahari lakini sina pesa " itakuwa ngumu"

Ningekupeleka shart mama wee!! Unyamwezini lakini sina pesa

(Q chief..)

"Nivumilie mpenzi bado kidogo tu! Bado kidogo tu ! Bado kidogo tu! Nivumilie mpenzi
Bado kidogo tu!
Bado kidogo tu!
Bado kidogo tu!

Verse 2. ( Viviani)

Itakuwa ngumu sana uko ndani ya usafiri dem mkali pembeni yako kwa chart wewe umekili/ nauli mfukoni huna na dem una mtamani/ inakuwa ngumu ukikutana nae hakuna hi!/ Umezoea kusoma ijumaa kila mwisho wa wiki/ leo unabadili style daily news na we wapi/ mimi naona itakuwa ngumu/ utakuwa unaangalia picha tu/ ahadi kibao ulishanipa lakini muda wapita/ unge ninunulia Gari wewe mwenyewe hata baiskeli huna/ itakuwa ngumu wewe mwenyewe kula kulala/ unanitambulisha Kwa rafiki zako masikini/ baada ya dakika mbili wanakumbonda ili niwakubali/ Kwa kifupi itakuwa ngumu tena ngumu sana/ kwa kifupi itakuwa ngumu tena ngumu sana itakuwa ngumu hutaki kupitwa juu juu/ unatumia hata juju ili uonekane maarufu/ mfukoni huna kitu club unataka kuingia kwa nguvu/ hela ya Tax huna lazima urudi KWA mguu/ hutaki kukubali kuwa starehe nayo ina makuu / subili basi wakati wa sikukuu / maana offer ni kuanzia asubuhi mpaka usiku/ inakuwa ngumu Dem wako hoi Kwa washkaji zako/ na kila mara anataka kusikia stori zao/ Aaah itakuwa ngumu Q chief kweli Bwana itakuwa ngumu....

๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ

Chorus

Ningekununulia Gari mama weee!!
La kifahari lakini sina pesa " itakuwa ngumu"

Ningekupeleka shart mama wee!! Unyamwezini lakini sina pesa

๐ŸŽถ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽถ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Itakuwa ngumu.

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

1726456804035.jpg
 
Back
Top Bottom