Itakuwa ni U genius unanianza

Hashimoodz

Senior Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
112
Reaction score
112
Nikisikia MTU anaitwa DAUD jina lake linalofuata huwa tu linakuja automatic

Hasa sijui naumwa ugonjwa gani
Au ndio u genius UNAVYOANZAGA ?
 
Nikisikia MTU anaitwa DAUD jina lake linalofuata huwa tu linakuja automatic

Hasa sijui naumwa ugonjwa gani
Au ndio u genius UNAVYOANZAGA ?
Ktk zile dalili 3 kuu za uchizi hii yko ni ya pili.
 
Vita ya madawa haijawahi kumuacha mtu salama.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
na mimi niambie jina langu la pili maana la kwanza DAUD
 
Hamna u genius hapo ila itakua unamfikiria sana mwenye ilo jina ambalo ukiskia daudi unahisi linalofuata
 
Unajua tofauti ya weather and humidity?..ukijua utakuwa umeanza kuelewa utabili wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…