Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

Booker T

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
61
Reaction score
13
Bond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi.
Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo moon hakuna kitu sidhani kama ni chaguo na Aussem yanga kwa kweli wamejitahidi sana mwaka huu .Kwa imani itakuwa simba ya ajabu sana mwaka huu.
 
Tarehe 30 June no mwisho was TFF kuwasilisha timu shiriki CAF sio mwisho wa timu kupeleka majina ya usajiri
 
Ndugu wewe tulia, hujui chochote kinachoebdelea ndani ya klabu, sio lazima kila kitu kiwekwe public !!! Subiri simba day ndio utaelewa zaidi!! Usisikilize waandishi wa bongo
Robo ya wachezaji mikataba ilishaisha mbina hawajapewa mikataba mipya
 
Bado kuna AFCON so tunasubr kujinyakulia wachezaji wazur
 
Ndugu wewe tulia, hujui chochote kinachoebdelea ndani ya klabu, sio lazima kila kitu kiwekwe public !!! Subiri simba day ndio utaelewa zaidi!! Usisikilize waandishi wa bongo
Sw mm mwekundu pia
 
Bond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi.
Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo moon hakuna kitu sidhani kama ni chaguo na Aussem yanga kwa kweli wamejitahidi sana mwaka huu .Kwa imani itakuwa simba ya ajabu sana mwaka huu.
First improve your hand writing
 
Back
Top Bottom