Robo ya wachezaji mikataba ilishaisha mbina hawajapewa mikataba mipyaSawa lkn mbona akina james kotei hakijaeleweka
Tarehe 30 June no mwisho was TFF kuwasilisha timu shiriki CAF sio mwisho wa timu kupeleka majina ya usajiriBond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi.
Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo moon hakuna kitu sidhani kama ni chaguo na Aussem yanga kwa kweli wamejitahidi sana mwaka huu .Kwa imani itakuwa simba ya ajabu sana mwaka huu.
Simba ya mwaka huu ni kama panya tu
Robo ya wachezaji mikataba ilishaisha mbina hawajapewa mikataba mipya
Sawa kiongozi mm ni mwekundu mwenzako lkn embu tusubir saa 7 leo.Simba hatukurupuki ko jitulizeni
Sw mm mwekundu piaNdugu wewe tulia, hujui chochote kinachoebdelea ndani ya klabu, sio lazima kila kitu kiwekwe public !!! Subiri simba day ndio utaelewa zaidi!! Usisikilize waandishi wa bongo
Yap,tuvute subraSawa kiongozi mm ni mwekundu mwenzako lkn embu tusubir saa 7 leo.
InshaallahYap,tuvute subra
First improve your hand writingBond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi.
Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo moon hakuna kitu sidhani kama ni chaguo na Aussem yanga kwa kweli wamejitahidi sana mwaka huu .Kwa imani itakuwa simba ya ajabu sana mwaka huu.
Dont mention boyFirst improve your hand writing