Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100

Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi???

Kwanini nasema hivi hizi site zimefungiwa na serikali nikimaanisha hazitambuliki na serikali ndo maana unahitaji VPN ili uweze kuzi-acess kwa hiyo biashara inayofanyika kwenye hizi site haitambuliki na serikali

Naamini hili ni moja ya swali fikirishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…