Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nchi zote zinazo wapatia matibabu viongozi mafisadi wa ki Africa ni muda Sasa wa kumuiga Trump Ili wawe wanatibiwa hapahapa(nchini mwao) kama JPM alivyokuwa anatibiwa Hadi kujifia hapa nyumbani.
Huu ndio uzarendo. Viongozi wetu Kila siku tunalia hospital hazina vifaa na madawa Wala hawajali
Hata kwenye sehemu ya kuokoa uhai wa mtu wao wameingiza siasa.
Japo najua wanapeleka mahela mengi sana kule. Ingekuwa Bora sana wakapigwa marufuku wote sio India Wala uingereza na kote kote wapigwe stop wajifie.
Mtu ana tezi dume huyo anatumia Kodi za Wana Nchi ovyo lakini sisi tukiugua tunatibiwa hapahapa ni kwamba sisi wananchi hatuna Damu?
Iwapo wakipigwa stop itawalazimu kuboresha hospital zetu na madawa yatakuwa ya kutosha bila kusahau vifaa vya kisasa!.