AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Allah anaweka madarakani amtakaye...Haitakaa itokee wakati ambapo jiwe ndo mwenyekiti wa chama.
Sahauni ccm kurudi kwa wanachama.
Jiwe akichoka anamwachia nchi na chama bashite.
Mpaka muombe po.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapinzani ndiyo wako kikaagoni aisee! Wengine kawaida tu.Hivi wanaopata taabu kwa maamuzi mabovu ya viongozi ni wapinzani au watanzania wote kwa ujumla?
Bar zote zitajaa na mitaa yote itafungwa kwa kunywa, sherehe, nderemo na vifijo.Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...
Sijui itakuaje...? Hebu nieleze nini kitatokea...?
Allah ndio muamuzi wake...Bar zote zitajaa na mitaa yote itafungwa kwa kunywa, sherehe, nderemo na vifijo.
Lakini si hivyo tu, hata ikitokea ...mara paaaa! Jiwe kavutwa na malaika mtoa roho, halafu akaaga dunia. Utashangaa kuona kuanzia mawaziri mpk mwananchi wa chini kabisa wanasherehekea.
Watalia sana kwenye hadhara ila watafrahi sana popote wasipoonekana!Bar zote zitajaa na mitaa yote itafungwa kwa kunywa, sherehe, nderemo na vifijo.
Lakini si hivyo tu, hata ikitokea ...mara paaaa! Jiwe kavutwa na malaika mtoa roho, halafu akaaga dunia. Utashangaa kuona kuanzia mawaziri mpk mwananchi wa chini kabisa wanasherehekea.
Watu sijui mnafikiliaga niniMara paap...CCM wafanye maamuzi magumu..ili kukiokoa chama...na kuwachanganya wapinzani kama mwaka 2015...
Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...
Sijui itakuaje...? Hebu nieleze nini kitatokea...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe amechokwa na ameboa sana
Majipu utayajua tu, Awamu huu lazima mtumbuke tu, hakuna jipu litakalosaliaMara paap...CCM wafanye maamuzi magumu..ili kukiokoa chama...na kuwachanganya wapinzani kama mwaka 2015...
Mara paap...RAIS MSTAAFU KIKWETE KUWA MGOMBEA WA URAIS KWA MARA NYINGINE TENA...
Sijui itakuaje...? Hebu nieleze nini kitatokea...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili mgando...Majipu utayajua tu, Awamu huu lazima mtumbuke tu, hakuna jipu litakalosalia