Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Kwamba ata wakiridhiana na CHAUMA,imetoshaMakonda kasema ccm wao wanataka kushika dola mambo kwamba wanashindana na nani hio haiwahusu same kwa maridhiano
Huko 'Portland' hakukufai; ni bora urudi tu Illinois.kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi.
Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki kwenye maridhiano?
Je Samia atafanya maridhiano na CHAUMMA? CUF? ACT?
Je target ya Samia kufanya maridhiano baada ya uchaguzi ni Nini?
Je mpaka now nani anamuhitaji mwenzake kati ya Lissu na Samia?
Je tutegemee handshake ya kitaifa kati ya Lissu na Samia?
By the way nawapa pole CCM maana hakuna kitu kigumu kama kufanya negotiations na Lissu.
Mto wa Mbu
Portland
Wapinzani wa tanzania akili awana kabisa ...vipofu vipofu vipofukubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi.