Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mitandao mbalimbali pamoja na takwimu za dunia zinaoneshwa kwa zaidi ya miaka 23 sasa idadi ya wanawake imekuwa ndogo kidogo kulingamisha na idadi ya sisi wanaume. Kwa sisi washika dini baada hali itakuwaje maana kwa sasa ni Men 101 : 100 female ? huku tanzania ikiwa men 49% female 51 . nini kifanyike ilI idadi ya wanawake iongezeke tupate wanne wanne😄