Iv ushawahi kujiuliza itakuwaje siku ukitokewa na malaika mweus tu kama wewe utakubali au utakataa
Watu wengi tunajua malaika ni mzungu mweupe na shetan ni mweusi. Sasa itakuwaje anakuja malaika mweus anakwambia aman iwe juu yako Mimi ni malaika kutoka kwa bwana Nina ujumbe juu yako.
Dah yaan Mimi sitaamin kabisa aisee nitajua hii michosho tu