Itakuwaje ukijikuta wewe na mkeo mmefichwa uvunguni?

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Umemuaga mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni.

Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni.

Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
 
Kuna mda nawaz kwa nini Kanisa lilisema uwe commited na mtu mmoja

You can love two people but you cant be inlove with two people.

Haya yote ni kwa sababu ya uasherati. Una nguvu kubwa ya uharibifu ndani mwetu. .
 
Umemuaga mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni.

Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni.

Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
Hapo kama ni mie namgegeda huyo mke wangu uvunguni
 
Back
Top Bottom