itakuwaje??

itakuwaje??

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
153
Reaction score
81
Chukulia kwa mfano unamtumia hawara yako msg ya mapenzi halafu bahati mbaya unaisend kwa MKWEO utafanyaje?msg yenyewe ni ya mapenzi!
 
Chukulia kwa mfano unamtumia hawara yako msg ya mapenzi halafu bahati mbaya unaisend kwa MKWEO utafanyaje?msg yenyewe ni ya mapenzi!

kuanzia hapo anza kuwa muaminifu kwa mkeo ili yasikukute hayo.
 
Unless ka ulitaja jina au kielelezo chochote cha kuonyesha si mkeo,otherwise unakomaa tu kuwa ulikuwa unamtumia maiwife wako.
 
jamani tumekatazwa uzinzi,RussianRoulette uko wapi umtie huyu bwana bakora!
 
daughter unaonekana mzoefu wa haya mambo ehee tujuze unakomaa mpaka........?
Unless ka ulitaja jina au kielelezo chochote cha kuonyesha si mkeo,otherwise unakomaa tu kuwa ulikuwa unamtumia maiwife wako.
 
ntamwambia mkwe wangu nlikuwa nampima kama yeye anamjali mtoto wake na atamwambia kuwa nna hawara.
 
Aisee ndo maana sipendagi kuandika meseji, kwanza zinaweza kutumika kama ushahidi kama ukiharibu mambo, mara unaweza kosea ukatuma kwa mwingine...
 
Chukulia kwa mfano unamtumia hawara yako msg ya mapenzi halafu bahati mbaya unaisend kwa MKWEO utafanyaje?msg yenyewe ni ya mapenzi!

Unatuliza kwa mda kama nusu saa halafu unamtumia mkeo kumuliza vp mbona mke wangu hujanijibu sms yangu nilikutumia? akisema sijaipata mtumie tena... au mwenzetu ushalikoroga huko unataka ushauri?
 
Back
Top Bottom