Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Mbona sijasikia maandamano?Maeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji.
Na watu wengine ikitokea vurugu huwa hawaoni haya kupora vitu.
Kwa maana hiyo watu wengi wakikusanyika pale amani lazima idumishwe.
watapangwa askari wewe hujapata kuonaMaeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji.
Na watu wengine ikitokea vurugu huwa hawaoni haya kupora vitu.
Kwa maana hiyo watu wengi wakikusanyika pale amani lazima idumishwe.
Hakuna sisimizi yeyote ataandamana, Watanzania ni waoga sana. Wanaweza kuonyesha ujasiri kwenye keyboard ya social media pekee.Maeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji.
Na watu wengine ikitokea vurugu huwa hawaoni haya kupora vitu.
Kwa maana hiyo watu wengi wakikusanyika pale amani lazima idumishwe.
Nani anaandamana? Watu wanaenda kutazama kiongozi wao kwenye kesi kwnaratiba zaoMaeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji.