Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Yeye atumie viwanja vyake kama ATL na aache kutaka kuwauzia wenzake msala.US kawaomba Poland mfumo wa Air defense Patriots wakauweke maeneo ya West Asia kwani wanataka baadhi ya mission zao za vita ,wazipangie kutokea maeneo ya West Asia,Poland kamkatalia. US anafanya hivi anahangaka kupunguza umbali, pindi afanyapo mashambulizi na vile vile ndege zake zitembee umbali mfupi, mpaka kwenye Refueling Aircraft Tanker kama mafuta ya kiisha. Ila ndio hivyo Polanda nae kamkatalia.
View attachment 3565329
Hadi Poland wamemkataa !!! πππUS kawaomba Poland mfumo wa Air defense Patriots wakauweke maeneo ya West Asia kwani wanataka baadhi ya mission zao za vita ,wazipangie kutokea maeneo ya West Asia,Poland kamkatalia. US anafanya hivi anahangaka kupunguza umbali, pindi afanyapo mashambulizi na vile vile ndege zake zitembee umbali mfupi, mpaka kwenye Refueling Aircraft Tanker kama mafuta ya kiisha. Ila ndio hivyo Polanda nae kamkatalia.
View attachment 3565329
Hawataki Tena kuwa just a pawnWashirika wa Marekani wameanza kushituka anavyowaburuza.
Trump atapata akili.
Ni suala la muda hawa anawamdu ngoja apunguze msalaba wake alionao huko mashariki ya katiHadi Poland wamemkataa !!! πππ
Kwani kawafanya nini washirika wake !? ππ€£π€£
Bora hivyo ili wajipambanie wenyewe kuliko yanayowakuta waarabu huko! Mtegemea cha nduguye one day nikudhalilikaNi suala la muda hawa anawamdu ngoja apunguze msalaba wake alionao huko mashariki ya kati
Hawa watawekewa maushuru ya sayari ya Mars na wataenda kumsujudia tu uncle Sam
Ana wamudu atawapiga sanctions wote hao. !? Biashara Atafanya na nani uchumi ni duara ukilivuruga duara na wewe lazima iku cost acha hizoNi suala la muda hawa anawamdu ngoja apunguze msalaba wake alionao huko mashariki ya kati
Hawa watawekewa maushuru ya sayari ya Mars na wataenda kumsujudia tu uncle Sam
Yeah ni kweli kabisa, hapo akimalizana na iran kituo kinachofuata Greenland baadae utaskia Ukraine!! Huyu jamaa wakimuendekeza tunarudi enzi za Hitler.Bara Ulaya wameona dalili za Hitler mwingine anayekusanya nguvu ili asababishe maafa Duniani.
Wanajua kuwa akimalizana na Iran atahamia kwao.
Maana Trump aliahidi kuchukua kwa nguvu kisiwa cha Greenland.
Hivyo huwezi kumpa ushirikiano mtu wa aina hiyo.
Baada ya Uhispania kuwakimbiza Wanamgambo wa Marekani kutumia anga yake Sasa ni zamu ya Italia nayo imepiga marufuku ndege za Wanamgambo wa Marekani kutumia Sigonella Air base iliyo Nchini humo. Hii vita Trump anakimavi kila akiinua kichwa anarudishwa na konzi
=============
Waziri wa Ulinzi wa Italia, Guido Crosetto, alizuia ndege za kijeshi za Marekani kutua katika kituo cha Sigonella (ambacho ni kituo muhimu cha NATO kilichopo Sicily), kwa sababu hakukuwa na ombi rasmi lililowasilishwa, na mipango ya safari (flight plans) haikuratibiwa ipasavyo.
Hatua hii inafanana na uamuzi wa hivi karibuni wa Hispania kukataa matumizi ya anga yake kwa safari fulani za kijeshi.
Hili si dalili ya mgawanyiko kamili ndani ya NATO, lakini linaonyesha kuongezeka kwa msimamo wa nchi za Ulaya kupinga operesheni zisizoratibiwa vizuri katika Mashariki ya Kati.
===============
Defense Minister Crosetto blocked US military aircraft from landing at Sigonella (key NATO hub in Sicily) because no formal request was made & flight plans weren't properly coordinated β similar to Spain's recent airspace denial.
Not a full NATO fracture, but it shows growing European pushback on unchecked ops in the Middle East. Logistics reroutes possible via other bases/tankers, but coordination gaps = higher costs & delays.
Trump's old point on NATO burden-sharing hitting different now?
TRUMP SAID NATO WILL BE β¦.see more
Huyu ni mshenziIla Trump sijui anaajenda gani mpumbavu yule. Hapa suala sio marekani maana hata huko marekani jamaa hawamkubali.
Huyu jamaaa ni kichaa na wakimuendekeza aisee dunia itapata pigo kubwa sana
AnatapatapaUS kawaomba Poland mfumo wa Air defense Patriots wakauweke maeneo ya West Asia kwani wanataka baadhi ya mission zao za vita ,wazipangie kutokea maeneo ya West Asia,Poland kamkatalia. US anafanya hivi anahangaka kupunguza umbali, pindi afanyapo mashambulizi na vile vile ndege zake zitembee umbali mfupi, mpaka kwenye Refueling Aircraft Tanker kama mafuta ya kiisha. Ila ndio hivyo Polanda nae kamkatalia.
View attachment 3565329
Mjinga aliyepewa mamlaka anataka atawale na duniaIla Trump sijui anaajenda gani mpumbavu yule. Hapa suala sio marekani maana hata huko marekani jamaa hawamkubali.
Huyu jamaaa ni kichaa na wakimuendekeza aisee dunia itapata pigo kubwa sana
Kosa alilofanya Trump alikua anawachamba hadharani Tena mbele ya media siku zile Viongozi wa EU pamoja na Zelensky walipoenda kumtaka Trump asiongee na Putin.Hadi Poland wamemkataa !!! πππ
Kwani kawafanya nini washirika wake !? ππ€£π€£
ππKosa alilofanya Trump alikua anawachamba hadharani Tena mbele ya media siku zile Viongozi wa EU pamoja na Zelensky walipoenda kumtaka Trump asiongee na Putin.
Trump akawaambia bila USA hawamuwezi Urusi,akawachamba sana na Zelensky akapewa maneno yake duniani mzima ikishuhudia.
Sasa Leo kibao kimegeuka aliokua anawadharau Leo a aomba msaada wao.
Kwa hiyo na wao wamepata nafasi ya kulipiza.
Ila kama Trump akitoka madarakani raia yoyote ajae huko USA atarudisha mahusianao na nchi washirika.