ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwanahabari mmoja wa Italia aitwaye Giulia Cortese ameagizwa kumlipa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Giorgia Meloni fidia ya €5,000 (£4,210) kutokana na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayodhihaki urefu wake
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa shirika la habari la kimataifa la Uingereza (BBC) mapema leo, Ijumaa Julai 19.2024 imeeleza kuwa katika maamuzi yake Mahakama imeona jumbe mbili za Giulia Cortese katika mtandao wa kijamii wa 'X' (twitter), ambapo licha ya adhabu hiyo pia mwanahabari huyo ametakiwa kulipa faini nyingine ya €1,200 inayotokana na kuchafua jina Waziri mkuu, ambapo kwa mujibu wa Mahakama imeeleza kuwa machapisho ya mwanahabari huyo kwenye mitandao yake binafsi ya kijamii yanalenga ‘kumuaibisha’ Waziri Mkuu huyo kwa jamii kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kwa sababu ya mwili wake
Katika machapisho yake mwanahabari huyo Cortese alimtaja Waziri Mkuu Meloni kama 'mwanamke mdogo' sambamba na kwenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa 'hatamani kuonana na mtu wa aina hiyo kwenye maisha yake'
Akizungumzia maamuzi hayo ya Mahakama Cortese amekosoa vikali serikali ya Italia kwa kile alichosema kuwa ina tatizo kubwa la uhuru wa kujieleza na kwamba uhuru wa waandishi wa habari uko shakani nchini humo
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa wawili hao waligombana kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 2021, wakati chama cha Meloni chenye msimamo wa mrengo wa kulia cha Brothers of Italy kingali bado katika upinzani, na hiyo ilitokana na ukweli kwamba Cortese alichapisha picha ya dhihaka ya Meloni kwenye X, iliyoonesha kiongozi huyo wa upinzani wakati huo (sasa Waziri Mkuu) akiwa amesimama huku pembeni yake ikipachikwa picha ya dikteta wa kifashisti Benito Mussolin, chapisho ambalo lilitengeneza mjadala mkubwa hasi nchini humo.
===
An Italian court in Milan on Thursday ordered a journalist to pay €5,000 ($5,450) in damages to Giorgia Meloni for "body shaming" the prime minister on social media.
The Milan court also gave Giulia Cortese a suspended fine of €1,200 over another post on X, formerly Twitter, about Meloni's height.
"Italy's government has a serious problem with freedom of expression and journalistic dissent," Cortese said in reaction to the sentence.
Cortese published a mocked-up photo of Meloni with late fascist dictator Benito Mussolini in the background on X.
In response, Meloni posted on Facebook that the fabricated photo was of "unique gravity" and had instructed her attorney to take legal action against the journalist.
Cortese responded with further tweets, including one that translates as "You don't scare me, Giorgia Meloni. After all, you're only 1.2 meters (4 feet) tall. I can't even see you."
Cortese was acquitted of the tweet comparing Meloni to Mussolini but was convicted of defamation for comments on Meloni's height, which the judge said amounted to "body shaming."
Meloni's lawyer said she would donate the €5,000 to charity.
It is not the first time that Meloni has brought journalists and writers.
Last year, a Rome court fined best-selling author Roberto Saviano €1,000 plus legal expenses after he insulted Meloni on television in 2021 over her hardline stance on illegal immigration.
DW
===
My Take
Tanzania isiruhusu upuuzi Kwa Viongozi Kwa mgongo wa Demokrasia.Demokrasia iwe yenye kuheshimu utu wa mtu na sio vinginevyo.
View: https://www.instagram.com/p/C9mPkAct8jm/?igsh=cm84YXhpNGl6Nmg3

Social media exchanges ended up in court
Meloni launched legal action against the journalist three years after the two women clashed on social media.Cortese published a mocked-up photo of Meloni with late fascist dictator Benito Mussolini in the background on X.
In response, Meloni posted on Facebook that the fabricated photo was of "unique gravity" and had instructed her attorney to take legal action against the journalist.
Cortese responded with further tweets, including one that translates as "You don't scare me, Giorgia Meloni. After all, you're only 1.2 meters (4 feet) tall. I can't even see you."
Cortese was acquitted of the tweet comparing Meloni to Mussolini but was convicted of defamation for comments on Meloni's height, which the judge said amounted to "body shaming."
Meloni has taken action against journalists before
Cortese can appeal the sentence.Meloni's lawyer said she would donate the €5,000 to charity.