Italy: Asilimia 99 ya waliokufa na Corona walikuwa na magonjwa mengine

Italy: Asilimia 99 ya waliokufa na Corona walikuwa na magonjwa mengine

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
Hii ni kwa mujibu wa Mamlaka ya afya ya nchi hiyo.

Wengi wao walikuwa na Ugonjwa wa shinikizo la damu, kisukari na matatizo ya moyo.

Chanzo: Bloomberg

====
99% of Those Who Died From Virus Had Other Illness, Italy Says

More than 99% of Italy’s coronavirus fatalities were people who suffered from previous medical conditions, according to a study by the country’s national health authority.

After deaths from the virus reached more than 2,500, with a 150% increase in the past week, health authorities have been combing through data to provide clues to help combat the spread of the disease.

Prime Minister Giuseppe Conte’s government is evaluating whether to extend a nationwide lockdown beyond the beginning of April, daily La Stampa reported Wednesday. Italy has more than 31,500 confirmed cases of the illness.

Italy Coronavirus Deaths
By prior illnesses (%)

Source: ISS Italy National Health Institute, March 17 sample

The new study could provide insight into why Italy’s death rate, at about 8% of total infected people, is higher than in other countries.

The Rome-based institute has examined medical records of about 18% of the country’s coronavirus fatalities, finding that just three victims, or 0.8% of the total, had no previous pathology. Almost half of the victims suffered from at least three prior illnesses and about a fourth had either one or two previous conditions.

More than 75% had high blood pressure, about 35% had diabetes and a third suffered from heart disease.

Threat to the Elderly
The median age of the infected is 63 but most of those who die are older

The average age of those who’ve died from the virus in Italy is 79.5. As of March 17, 17 people under 50 had died from the disease. All of Italy’s victims under 40 have been males with serious existing medical conditions.

While data released Tuesday point to a slowdown in the increase of cases, with a 12.6% rise, a separate study shows Italy could be underestimating the real number of cases by testing only patients presenting symptoms.

According to the GIMBE Foundation, about 100,000 Italians have contracted the virus, daily Il Sole 24 Ore reported. That would bring back the country’s death rate closer to the global average of about 2%.
 
Duuh!! 🤔🤔🤔 Hivyo hii inamaanisha kwamba Corona mpaka ikutane na ugonjwa mwingine mwilini ndio inaua ama nimetoka kapa katika kulielewa hili walilomaanisha hapa?
afya mgogoro uongeze na Corona unakuwa umetengeneza mteremko wa kifo chako.
njia nyingine ya kuhairisha kifo au kukichelewesha ni kuhakikisha unaimarisha afya pia, ili uongeze mabondia wa kupammbana na huyo mh Corona akiingia mwilini
 
Baada ya kuona the whole world is in panic sasa wanaamua kutoa data za kufanya watu warelax na kuona kuwa huu ugonjwa ni wa kawaida (ambao ndio ukweli wenyewe)

Sent using Jamii Forums mobile app
sigara tu inaua karibu watu 14000 kwa siku,
ila corona tangu ianze kuua hainusi rate hii.

kule kulipuka ndiko kunakotisha kidogo, ila ukizama kwenye details bado hofu inapungua kidogo
 
Niseme tuu huu ugonjwa utakapo isha ndo tutajua wako wenye dunia wanao amua kuwapanikisha hata kama jambo ni dogo vipi... Ki ukwel dunia nzima ishapaniki ishasahau hadi magonjwa mengine ambayo humaliza ma milioni ya watu kila siku huku hii kitu ikimaliza mamia ya watu tena kwa kubebwa na magonjwa mengine. sasa kama mtu alikuwa mahututi kwa magonjwa ya moyo alafu apate corona mnadai kafa kwa corona
 
kwa rate ya vifo china ukilinganisha na idadi yao utaona tishio ni 0.00000, wenda hata kuna baadhi ya sehemu hawajui kama ipo.

ili kutisha na kulazimisha watu tuogope sana, ndio maana unaona wanaugua watu wakubwa. Kwa sababu wengi tunapenda michezo wanaugua na wanamichezo. Lazima itishe tu.
 
Detail gan mkuu,unafuatilia wapi data kuwa covid 19 inapungua?Jana wagonjwa walikuwa 190,000+ Leo ni 200,000+,wafu walikuwa 7500+ Leo ni 8000+ wewe unasema kasi imepungua,pole sana,kumbuka pia Tanzania juzi tulikuwa na mgonjwa 1 lakini Leo hii 3+ sawa wewe taarifa za kupungua wazipata wepi mkuu?
sigara tu inaua karibu watu 14000 kwa siku,
ila corona tangu ianze kuua hainusi rate hii.

kule kulipuka ndiko kunakotisha kidogo, ila ukizama kwenye details bado hofu inapungua kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detail gan mkuu,unafuatilia wapi data kuwa covid 19 inapungua?Jana wagonjwa walikuwa 190,000+ Leo ni 200,000+,wafu walikuwa 7500+ Leo ni 8000+ wewe unasema kasi imepungua,pole sana,kumbuka pia Tanzania juzi tulikuwa na mgonjwa 1 lakini Leo hii 3+ sawa wewe taarifa za kupungua wazipata wepi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
china huko ilikoanzia kuna sehemu hakuna kabisa maambukizi mapya. mfano hubei yote ukitoa wuhan kuna hakukuwa na maambukizi mapya. Kuna sehemu yanapungua na kunasehm yanaongezeka.

Pointi yangu ni rate hiyo na hofu nyuma ya hiy rate ukilinganisha na magonjwa mengine japo sio ya mlipuko ambayo kila siku huua maelfu ya watu.
 
Back
Top Bottom