The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mbambe ni Mbambe tu!! China mwenyewe anasanda na ukubwa wake, ajabu utasikia MATAGA, yanasema USA, hawezi tutisha yeye nani!! Akiamua hizo dhahabu, almasi, Tanzanite, zetu zinaweza geuzwe kete za kuchezea draft na bao!!!!China kutaka kupambana na Mmarekani moja kwa moja ndio kummemponza.. Sasa ametoka kwenye kundi la washirika na kuingia kwenye kundi la mahasimu wa Marekani.. Soon China atavunjwa vunjwa kama Urusi.
Clap clapHii vita in the long run atakayeshinda ni Mchina. Ogopa ka nchi kalikokuwa sawa na nchi za africa miaka ya 60 ila sasa hivi kanamwogopesha Marekani.
China kutaka kupambana na Mmarekani moja kwa moja ndio kummemponza.. Sasa ametoka kwenye kundi la washirika na kuingia kwenye kundi la mahasimu wa Marekani.. Soon China atavunjwa vunjwa kama Urusi.
Hii vita in the long run atakayeshinda ni Mchina. Ogopa ka nchi kalikokuwa sawa na nchi za africa miaka ya 60 ila sasa hivi kanamwogopesha Marekani.
We tulia uone, ili Ulaya ifanye mchina anachofanya zinaungana nchi mfano: Space programs wanaungana lakini mchina anafanya yake na space station anatengeneza yake peke yae, ulaya waliungana kutengeneza mfumo wa positioning kama wa marekan (GPS), Mchina one man army katengeneza wa kwake. Sasa hivi wanazifanyia test ndenge za abiria japo itachukua muda mpaka zikubariwe.Serious?
Kwa maana hio unapokuja juu kimaendeleo na kiuchumi na kitechnologia ni kupambana na Mmarekani, yaani mna akili zilezile kuwa hakuna taifa litakaloipita Marekani kama mnavyodanganywa, sasa kama marekani sasaivi ina nguvu kwa nini anateseka na technology ya mchina, anahofia nini hasaa wakati watu wanafanya business zao halali kimataifa [emoji16], zama zimebadilika now, anatumia nguvu kubwa sana kushawishi mataifa ya Europe kutodeal na mchina, ooooo maskini taifa kuu linaangamia itabaki historia [emoji23]
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Struggle man na hiyo kanzu yako Una bifu na Marekani na hautakaa ufanikiwe. Unaishi Kwa kutegemea technology ya mzungu