Italy inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G


Well said mkuu, thank you - tatizo linalo kumba wengi wetu ni kushindwa kutofautisha propaganda za main stream media za huko Merikani na hali alisi ya nani anaongoza Duniani katika masuala ya uundaji wa 5G radio transceiver zinazo tumiwa na service providers wa cellphone networks - ukweli wa mambo ni kwamba kampuni ya Huawei ndio unaongoza katika teknolojia ya 5G, vile vile Huawei ndio wanamiliki takribani asili mia 90 ya patents za 5G i.e intellectual properties (IPs)hivyo washindani wao wakitaka kuzitumia watalazimika kuzikipia patents au kukataliwa kupewa kibali na Huawei - kwa kifupi hivi sasa kampuni ya Huawei ndio imeshikiria mpini wa teknolojia hii, kampuni za Sweden, Finland na America zimeshindwa kabisa data throughput kufikia au kuzidi za Huawei kutokana na teknolojia yao kuwa ni improvised 5G i.e not a truly 5G ndio maana ziko dead slow compared na Huawei.

Bottom line is: All Nations around the World should have a choice - aidha wakubali kupotoshwa na fitina za kibiashara za America kuhusu Huawei huku wakijua kwamba watakuwa stuck na teknolojia ya ulaghai ambayo sio truly 5G au wakubali kununua teknolojia ya 5G kutoka kampuni ya Huawei ili wasibaki nyuma kimawadeleo - chaguo libaki kwa mataifa yanayo husika bila ya kushinikizwa na USA kutokana na uchoyo na roho ya kwa nini yenye lengo la kutaka kuididimiza kiuchumi China - hivi sasa Dunia imekwisha shitukia fitina za USA juu ya kampuni ya Huawei - crusade ya Trump na wenzake dhidi ya Uchina zita shindwa eventually.
 

Mkuu fitina za jamaa hawa zinatokana na kuogopa kasi ya maendeleo ya Wachina katika nyanja zote - ugomvi wao husio kuwa na kichwa wala miguu unatokana na hilo.
 
Kwamba kuna original 5G ambayo inamilikiwa na Huawei na fake 5G ambayo inamilikiwa na makampuni mengine? Kwamba ukitaka 5G basi ni Huawei ila hizo nyingine ni fake 5G? Hii umeitoa wapi mkuu?
 
Tena mkuu unaambiwa wamepiga mahesabu ni kuwa wakijitoa mikataba na huawei itabidi wakae zaidi ya miaka mitano ili kufikisha lengo lao alaf pia kutakua na hasara za billions of dollars kila nchi itayojitoa na mikataba hio
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Unajua kuwa hizo ndege ya abilia engine anaprovide nani?
 
Hata engine za baadhi ya ndege za boeng anazitengenezwa rolls royce ambaye ni Muingereza sasa hapo ajabu ni nini mchina akioutsource engine?
Hajui pia kabla ya Ellon Musk kuingilia kati NASA walitumia engine na roketi za mtu gani kwenda ISS
 
Huawei tangu ipigwe ban na USA imepata hasara zaidi ya $ 12 billion,na washirika bado wanaendekea kuunga mkono US,nipe mafanikio ya kampuni kuendelea wakati inaendelea kupata loss kubwa na athari za ban zinaongezeka
 
china kwenye hata maji katanguliza kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…