Italy nchi nzuri pengine kupita zote duniani

Italy nchi nzuri pengine kupita zote duniani

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimekaa miaka sita kwenye Hii nchi hakika ni nchi nzuri mnoo geographical location yake ni katikati ya ulaya watu wake ni wachapa kazi ila pia wapenda starehe mnoo dini kuu ni Roman Catholic

nchi Hii ina hazina ya historia ya kale iliyohifadhiwa vyema pengine kuliko nchi yoyote duniani pia miji yake ina ustaarabu wa kale kuliko nchi yoyote ya ulaya

Jaribu kutembelea miji Hii utaamini nisemayo

Turin
Milan
Genoa
Rome
Cicily

Kisiwa cha Cicily ndipo kundi la mafia lilizaliwa
Miaka sita niliyokaa italia nimejifunza mambo mengi umaskini upo hasa kusini ila kwa ujumla ni nchi tajiri yenye viwanda vingi vikubwa

Waitalia wanapenda Sana ngono hata viongozi wa serikali wanakumbwa Sana na haya makashfa ya ngono rejea kashfa ya dungadunga ya waziri mkuu tajiri Silvio berluscon angalau Romano prodi alikuwa ametulia ukifika Roma usisahau kufikia piaza navona

Karibuni italia
 
Mkuu tupe fursa zinazopatikana huko na namna ya kupenya kuingia kwa kina Gattuso.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria zao kwasasa ni Kali kwasababu ya wimbi la wakimbizi kutoka nchi za afrika kaskazini ila fursa kubwa huku kwa cheap labor ya waafrika ni viwandani ngoja nikipata muda nitafafanua hasa italia ya kaskazini ndio kwa matajiri na ndio kwenye fursa
 
Hawa jamaa wanaozamia kupitia visiwa vya Lampedosa ndio wamefanya Italy iweke sheria ngumu kwa wahamiaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zamani ilikuwa Greece ispokuwa nasikiaga wana mchezo mbaya sana.....!mpaka nchi yao ikalaanika.
 
Back
Top Bottom