Italy nchi nzuri pengine kupita zote duniani

Kusini sijui kuna nini? Kila kusini ya nchi yoyote ndio wananchi wake huwa masikini.
Tanzania.
Sudani
Uganda
Kenya
Malawi
N.k
Mikoa yake ya kusini ni masikini

Umesahau Lindi, Mtwara, Songea nk.
 
Hapo sawa!! Lakini kila nchi ina mvuto wa aina zake!! hapa TANZANIA tuna aina zote za kuvutia na uzuri wa hulka za kibinaadamu, utu na ukarimu..!! Ongezea na Mazingira ya misitu Maliasili pia !!
 
Hapo sawa!! Lakini kila nchi ina mvuto wa aina zake!! hapa TANZANIA tuna aina zote za kuvutia na uzuri wa hulka za kibinaadamu, utu na ukarimu..!! Ongezea na Mazingira ya misitu Maliasili pia !!
Except democracy
 
Asa Asante Sana mkuu kwa kuongezea nyama na kuonyesha upande WA pili wa italia
 
Sijawahi kufika ila napenda kuangalia lifestyle ya watu kule,vipi mvinyo mwekundu kwa alcohol na non alcohol upi unapendwa zaidi?ladha zake zikoje maana kuna mtu kaniambia Italy inaongoza kwa kuwa na mvinyo mtamu zaidi duniani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kufika ila napenda kuangalia lifestyle ya watu kule,vipi mvinyo mwekundu kwa alcohol na non alcohol,ladha yake ikoje maana kuna mtu kaniambia Italy inaongoza kwa kuwa na mvinyo mtamu duniani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ureno Portugal ndio wanaongoza Italy chamtoto ila ureno ni maskini
 
Umesahau kusema kua wataliani wengi ni wezi/wadokozi. Ukienda supermarket kua makini usipende kua karibu nae sana maana anaweza kuiba bidhaa mkakamatwa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wazee wa kubeti tushafika sana pande hizo...maaana miji kama Genoa,Milan,Sampdoria mpaka Reggina kote tushatimba sana kwa Mikeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…