Itambue miamba miwili katika ulimwengu wa Mbwa: German Shepherds VSDoberman Pinscher

Itambue miamba miwili katika ulimwengu wa Mbwa: German Shepherds VSDoberman Pinscher

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Japokuwa Mbwa anatajwa kuwa rafiki kipenzi cha binadamu, unapoamua kufuga mbwa unapambana na tatizo la kuchagua aina ya mbwa. Mbwa wawili ambao ndio kama wababe kwenye ulimwengu wa mbwa ni hawa niliowaweka hapa chini. Wote wana asili ya Ujerumani. Kutegemea na eneo husika hawa ndio mbwa wanaotumika zaidi kwenye shughuli za ulinzi na pengine uokozi. Hapa Bongo ni nadra kukuta hawa mbwa kwenye nyumba za wazalendo wa kawaida.

Mwenzangu, wewe unapenda aina gani ya mbwa?

german-shepherd.jpg
doberman.jpg

German Shepherd Dogs Doberman Pinscher Dogs

Wasifu:

Comparison between German Shepherd and Doberman:
[TABLE="width: 596"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
German Shepherd
[/TD]
[TD]
Doberman
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Other names[/TD]
[TD]Alsatian and Alsatian Wolf Dog[/TD]
[TD]Doberman Pinscher[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nicknames[/TD]
[TD]GSD[/TD]
[TD]
  • Dobie
  • Dobermann
  • Dobynm (in some countries)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Country[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Weight[/TD]
[TD]Male weight ranges from 30 to 40 kg
Female weight ranges from 23 to 33 kg
[/TD]
[TD]Male weight ranges from 34 to 41 kg
Female weight ranges from 27 to 36 kg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Height[/TD]
[TD]Male height is from 60 to 65 cm; female height is from 55 to 60 cm[/TD]
[TD]Male height is 68.8 cm; female height is 63.9 cm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Color[/TD]
[TD]Most commonly tan with black saddle – the most common colors are tan/black and red/black.[/TD]
[TD]Black, brown, red, blue, fawn, and white (albino)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Known as[/TD]
[TD]Loyalty, protectiveness and eagerness[/TD]
[TD]Clever, watchful and faithful companion[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Appearance[/TD]
[TD]German shepherds are large-sized dogs.[/TD]
[TD]Dobermans are very strong dogs with large, muscular structures.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tail[/TD]
[TD]The tail is bushy and reaches to the hock.[/TD]
[TD]Natural tail is fairly long, but individual dogs often have a short tail as a result of docking. Docking is basically a procedure when a person removes a tail of dog after its birth.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ears[/TD]
[TD]The ears are large and stand erect, open at the front and parallel, but they often are pulled back during movement.[/TD]
[TD]Their ears are cropped. It is illegal in many countries, but ears are normally cropped and carried erect.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Intelligence[/TD]
[TD]German shepherds are known for their intelligence. They have an ability to adapt the task easily.[/TD]
[TD]Doberman are very intelligent too. They are tested in problem-solving and different tasks.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Aggression[/TD]
[TD]They are superior in aggression and defensive behavior.[/TD]
[TD]Aggression basically depends on different categories, such as aggression directed at strangers, owner, strange dogs and rivalry with other household dogs.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: Difference between German Shepherd and Doberman
 
Mbwa wa kufugwa anatakiwa ale mara ngapi kwa siku moja?
 
Mbwa wa kufugwa anatakiwa ale mara ngapi kwa siku moja?

hapa bongo nahisi wengi tunalisha mara moja kwa siku. lakini mkazo upo kwenye aina ya chakula. kwani kuna chakula ambacho kinaweza kumfanya mbwa kuongeza uzito kupitiliza na hivyo kumsababishia maradhi.

kuna makala nzuri unayoweza kuisoma kwenye link hii

How Often Should you Feed a Dog
 
Mbwa anatakiwa asile usiku ipi asiwe mvivu baada ya kushiba. Pia inatakiwa apate angalau Lita moja ya maziwa kila wiki ili kumsaidia ku-detect sumu kwa urahisi iwapo ategwa kwa chakula chenye sumu

Vv
 
mbwa mkubwa kuliko wote (kwa umbo) ni yupi....
 
mbwa mkubwa kuliko wote (kwa umbo) ni yupi....


kwa hawa wawili nadhani ni GSD (german shepherd). Lakini kuna Big Dane, hawa ni wakubwa sana unaweza ukadhani ni ndama

great-dane1.jpg
 
Hawa pitbull huwa nawapenda sana
 

Attachments

  • 1423680785455.jpg
    1423680785455.jpg
    48.4 KB · Views: 334
Haya madude ndo yenyewe
 

Attachments

  • 1423681242137.jpg
    1423681242137.jpg
    26.4 KB · Views: 294
japokuwa mbwa anatajwa kuwa rafiki kipenzi cha binadamu, unapoamua kufuga mbwa unapambana na tatizo la kuchagua aina ya mbwa. Mbwa wawili ambao ndio kama wababe kwenye ulimwengu wa mbwa ni hawa niliowaweka hapa chini. Wote wana asili ya ujerumani. Kutegemea na eneo husika hawa ndio mbwa wanaotumika zaidi kwenye shughuli za ulinzi na pengine uokozi. Hapa bongo ni nadra kukuta hawa mbwa kwenye nyumba za wazalendo wa kawaida.

mwenzangu, wewe unapenda aina gani ya mbwa?

german-shepherd.jpg
doberman.jpg

german shepherd dogs doberman pinscher dogs

wasifu:

comparison between german shepherd and doberman:
[table="width: 596"]
[tr]
[td]
[/td]
[td]
german shepherd
[/td]
[td]
doberman
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]other names[/td]
[td]alsatian and alsatian wolf dog[/td]
[td]doberman pinscher[/td]
[/tr]
[tr]
[td]nicknames[/td]
[td]gsd[/td]
[td]
  • dobie
  • dobermann
  • dobynm (in some countries)
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]country[/td]
[td]germany[/td]
[td]germany[/td]
[/tr]
[tr]
[td]weight[/td]
[td]male weight ranges from 30 to 40 kg
female weight ranges from 23 to 33 kg
[/td]
[td]male weight ranges from 34 to 41 kg
female weight ranges from 27 to 36 kg
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]height[/td]
[td]male height is from 60 to 65 cm; female height is from 55 to 60 cm[/td]
[td]male height is 68.8 cm; female height is 63.9 cm[/td]
[/tr]
[tr]
[td]color[/td]
[td]most commonly tan with black saddle – the most common colors are tan/black and red/black.[/td]
[td]black, brown, red, blue, fawn, and white (albino)[/td]
[/tr]
[tr]
[td]known as[/td]
[td]loyalty, protectiveness and eagerness[/td]
[td]clever, watchful and faithful companion[/td]
[/tr]
[tr]
[td]appearance[/td]
[td]german shepherds are large-sized dogs.[/td]
[td]dobermans are very strong dogs with large, muscular structures.[/td]
[/tr]
[tr]
[td]tail[/td]
[td]the tail is bushy and reaches to the hock.[/td]
[td]natural tail is fairly long, but individual dogs often have a short tail as a result of docking. Docking is basically a procedure when a person removes a tail of dog after its birth.[/td]
[/tr]
[tr]
[td]ears[/td]
[td]the ears are large and stand erect, open at the front and parallel, but they often are pulled back during movement.[/td]
[td]their ears are cropped. It is illegal in many countries, but ears are normally cropped and carried erect.[/td]
[/tr]
[tr]
[td]intelligence[/td]
[td]german shepherds are known for their intelligence. They have an ability to adapt the task easily.[/td]
[td]doberman are very intelligent too. They are tested in problem-solving and different tasks.[/td]
[/tr]
[tr]
[td]aggression[/td]
[td]they are superior in aggression and defensive behavior.[/td]
[td]aggression basically depends on different categories, such as aggression directed at strangers, owner, strange dogs and rivalry with other household dogs.[/td]
[/tr]
[/table]

source: difference between german shepherd and doberman
hawa mimi ninawafuga nyumbani kwajili ya kulinda mifugo wasishambuliwe na mafisi na kufukuzia nguruwe shambani. Yapo mengi fanya research vya kutosha mkuu
 
Back
Top Bottom