Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Kuna namna mbili kiutaratibu na kimjiniNnahitaji kufungua kampuni in partnership na mtu ambaye si mtanzania, process zote zitachukua muda gani hadi kupewa certificate? Ni vitu gani ntahitaji ambatanisha napoenda sajiri?
nmeshapitia website ya brela, ila nahitaji majibu ya mtu ambaye ameshafanya hili.
Kaka wala usijusumbue kichwa.Nakukutanisha na mdau mwaminifu sana na ameshasaidia wadau weng humuhumu Jf.Anakufungulia kampuni na mambo yote ya lesen na TIN number ndani ya wiki 1 unapata kila kitu kwa uaminifu mkubwa.Kama hutojali mcheki kwenye0714074040,0767074040,0783074040
Waheshimiwa,sasa mambo ya mtu wa kati ya nini? I mean do we need middlemen in this if all the procedures are straight forward? Suala hili la watu wa kati nasikia hata mahakama za Dar lipo. Mtu unakesi, bado wapo watu wanakula kwa 'kusema wanakusaidia' kwa mh hakimu! Sijui nchi gani tunajenga, ama ndo kuendeleza upindishaji wa sheria na taratibu? Kama tunakuwa hatuna majibu, basi tukae kimya badala ya kusema tunaunganisha na watu....sijui huu ni msaada gani kama taasis anayoendea ni ya umma na inapaswa ku-operate kwa uwazi? Unless mnataka kutuambia BRELA kuna suala la kujuana!
Wana JF mimi naamini hapa ni sehemu ambayo Great Thinkers think deeper and sharpen their thinking. Mwanajamvi anatoa hoja inajadiliwa na siyo kuteka hoja kwa style ya Makuwadi wa Soko Huria! Mwanajamvi anapohitaji msaada wa mawazo au maelekezo hatuna budi kuwa positive katika kumpa msaada anaohitaji na siyo kuteka hoja yake kwa kigezo "nikusaidie". Daima middleman anamuongezea mlaji gharama zisizo za lazima. Udalali wa namna hii naufananisha na mimea uota na kukulia mgongoni mwa mimea mingine ambayo hunyonywa hadi inakufa. Huu ni unyonyaji. Si nzuri. Mi nakwambia kwa anayehitaji huduma ya BRELA nenda ofisini kwao utapata huduma nzuri. Watanzania hizi short cut and violation of stipulated laws, rules and regulations siyo tabia nzuri. Ebu tukemee makuwadi wa soko huria.
Akiri acha kabisa mchezo huo! Ebu mjibu haraka maswali yake yafuatayo:-
- Process za usajili wa kampuni itamchukua muda gani hadi kupata Certificate of Incorporation?
- Ni vitu gani (Docs) awe nazo wakati wa kufanya usajiri BRELA?