Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE HARRASED and arrested, je video au picha itatofaitisha vipi Shabiki msouth Africa, mmisri na Shabiki MAANDAZI wa kibongo.
Wasouth Africa walivyo walalamishi inaweza kutusababishia shida ikionekana mwenye jezi ya Mamelody Hana uhuru uwanjani regardless ya passport.
Wasouth Africa walivyo walalamishi inaweza kutusababishia shida ikionekana mwenye jezi ya Mamelody Hana uhuru uwanjani regardless ya passport.