A Father
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 1,219
- 380
Mikoa mipya kama Simiyu, Katavi, Geita, Njombe.
Nauliza itaonekana kutambulika lini sababu nimepita lakini sijaona mwalimu aliyepangwa katika hiyo mikoa tajwa kunani, au ndio yale ya kulipana fadhila halafu kila kitu kama zamani tu?
Wakati huohuo, nilipopita nimeona sehemu ya 'AINA' kumewekwa 'CHUO' na sehemu ya 'CHUO' ndiko kumewekwa 'AINA', pia kuna majina yamejirudia halafu unakuta katika hayo mwingine ame-postiwa sehemu mbili tofauti, ina maana kabla ya ku-publish haikuwa previewed au wali-assume jamaa wana njaa sana kwa hiyo wataelewa tu?
Huyu mwenye post 2 atakwenda wapi? Je, kwa hili hawajakoseshwa watu post?
Samahani kwa kukuchosha,
Nawasilisha.