ITATUCHUKUA TENA MIAKA 39 KURUDI AFCON

ITATUCHUKUA TENA MIAKA 39 KURUDI AFCON

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Kwa bahati mwaka huu tumefanikiwa kuingia AFCON ili hali mi mpaka sasa sijui tumpe nani sifa za mafinikio hayo ya kuiwezesha timu yetu kwenda huko kwa mafarao. Nashindwa wa kumpa pongezi kwa sababu kwanza timu yetu imeshindwa hata kuifunga Lesotho achilia mbali Kenya, hii ikionesha uwezo wa kocha ni dhifu kwani hata huko Misri timu yetu ni miongoni mwa timu mbovu kabisa. Pili nashindwa nani nimpe pongezi kwani hata Television ya Taifa mashindano ya U-17 yamefanyika hapa kwetu wameshindwa kuyaonesha achilia mbali Afcon inayo chezwa Misri. Tatu nashindwa nani wa kumpongeza kwani hata academi ya kukuza soka la vijana hapa Tanzania mi siijui labda mlio huku mjini mnijulishe kama ipo. Nne nashushindwa nani wa kupongeza kwani wakati Timu inahangaika kupata nafasi ya kwenda Misri TEA ELFU ELFU wako bize kuhangaika na uchaguzi wa yanga. Kwa kuwa mambo ni mengi na mda mchache kwa hali hii ya kuokota wachezaji kutoka kusikojulikana (bila ya maandalizi maalum) itatuchukua tena miaka 39 kurudi tena AFCON
 
Kwa team 24 Kufuzu ni rahis tu sema huko kwenye hayo mashindano ndo tutakuwa tunaboronga pia mi ninahakika tutakuwa tunafuzu kila mwaka au Kama tukikosa mwaka mmoja Basi unaofuata tutafuzu.
 
Back
Top Bottom