itazame hapa video mpya ya diamond..number one

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
http://www.youtube.com/watch?v=uig1r5NDgfI&feature=c4-overview&list=UUxLHaCHSvuyB1hw64MTw-JA
 
ngoma imekuwa hyped before haijatoka matokeo yake watu walikuwa wanasubiri kuona somethin bigger lakini inaonekana ya kawaida katika masikio ila kubwa katika macho!..........
 
Kweli mkuu, mimi ndo nimetoka iangalia, ngoma ni ya kawaida na nimeanza kuamini kuwa kuna ukweli kuwa dayna beat alikataa maana laiti diamond asingekuwa ni mwimbaji mzuri hata ngoma ingekuwa mbaya. I wish angefanyia video wimbo wa Ukimuona maana una melody na beat safi....
Video kwa upande wangu is not what i expected, nime enjoy kuangalia the making of.... Kuliko video ya wimbo wenyewe.
Nadhani hii imesababishwa na expectation kutokana na promo ya hii video ni kama ilivyokuwa kwa wimbo wa freeze wa AY...
Nadhan diamond anaweza kuachia track nyingne akiona haijafanya poa kama ilivyokuwa kwa nataka kulewa kuwa replaced na kesho...

ngoma imekuwa hyped before haijatoka matokeo yake watu walikuwa wanasubiri kuona somethin bigger lakini inaonekana ya kawaida katika masikio ila kubwa katika macho!..........
 

Sio mbaya Kajitahidi , video nimeipenda, ina vitu inavyo nifanye nisichoke kuiangalia... Bravoooo Diamond!!!
 
Last edited by a moderator:
Imepwaya na kachemka pamoja na promo kuuuuubwa lakini ngoma mchelemchele ila asikate tamaa anaweza kujipanga na akatoa nyingine tena.

Hii tupa kule.
 
Sijaona kipya ndani ya huu wimbo,kuanzia video mpaka audio yakawaida sana,ukitazama mara 1 haikuvutii kusikiliza mara ya pili huo ni wangu mtazamo masela msijenge chuki
 
Sijaona kipya ndani ya huu wimbo,kuanzia video mpaka audio yakawaida sana,ukitazama mara 1 haikuvutii kusikiliza mara ya pili huo ni wangu mtazamo masela msijenge chuki

Pamoja sana mkuu, kula "LIKE"
 
ACHEN MAMBO ZENU..SOMEN BAADHI YA COMENTS ZA WENZENU YOUTUBE

Post a comment
Kasongo Eric (6 minutes ago)
watazania mpeni kaizari yalio yake
diamond kwa sasa ana mpizani video
nzuri na nyimbo nzuri.kazi nzuri kaka
waku sema wa seme tu we zidi kuwa
chapa
Ferrick Willyson (45 minutes ago)
Nice video, Big up brother we support
u
Samwel Alfred (56 minutes ago)
Nice one big up broda
Abesiga Kabigumila (3 hours ago)
Another level...
harry (5 hours ago)
Video nzuri kuliko audio!!
moses masoi (5 hours ago)
THUMBS UP MR.DIAMOND.....U'VE
DONE US PROUD AGAIN...YOU ARE A
RARE TALENT THAT EAST AFRICA
BOOST OF.
Ritha George (6 hours ago)
i`ve watched this 7 times already.. its
nice i liked it
Emmanuel Mkinga (6 hours ago)
nice video
Ritha George (6 hours ago)
all i can say is nice video....
maysarothman (6 hours ago)
mmmmmmm great song but diamond
umechemsha hapooo hyoo nyimboo
inavoanzaa imefana na nyimbo ya
failypupa na jy martin kwarikwa yanii
ume copyy na ku pastee.....
Next page »
YouTube Home
 

unalipwa bei gani dada? maana ulivyokomaa kumtetea bosi wako!!
 
video hii kali lakini audio ya kawaida sana , hizi gharama za kufanya hii video angeziwekeza tu kwenye video ya kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…