Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Kweli??? au kejeli mkuuPaka mkojo wa sungura
khaaaa saa nautoaa wap jaman bujiPaka mkojo wa sungura
thank you mkuuTafuta chanzo cha huo muwasho wako mkuu, jaribu kutumia cetrizen huenda ni alerge"
Unapatikana sehemu mbalimbali na pia kwa wafugajikhaaaa saa nautoaa wap jaman buji
habari za asubuh wapendwa natumai mpo pouwaaa naombeni mnisaidiee dawa ya kuondoaa muwasho kwenye mwili manake tangu jana mwili mzimaa unawasha alafu sijui nitumiee dawaa gani,naombeni mnisaidie......
Pole sana ,naamini unaendelea vizuri,ujitahidi kwenda hospitali utapata tiba sahihi,huenda ni aleji ..mzio unaotokana na chakula au vitu vinavyokuzunguka,au minyoo ila hospitali wanayo namna ya kufahamu na kukupa dawa sahihi na ya kumaliza /kuponyahabari za asubuh wapendwa natumai mpo pouwaaa naombeni mnisaidiee dawa ya kuondoaa muwasho kwenye mwili manake tangu jana mwili mzimaa unawasha alafu sijui nitumiee dawaa gani,naombeni mnisaidie......