Itega sec imulikwe

Itega sec imulikwe

mlaulesteven

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
13
Reaction score
2
Tunaiomba wadau wa elimu mkoa wa dodoma na taifa kwa ujumla, waitazame shule hii ya ITEGA SECONDARY iliyopo maeneo ya nkuhungu dodoma. Shule hii imekua haina taaluma ya kuridhisha kwa muda mrefu. Shule haina baadhi ya walimu wa masomo zaidi ya miaka miwili sasa. Mfano mwalimu wa biology. Watoto we2 wa kidato cha pili hawajui watajbu nn mtihani wa taifa kdato cha pili. Mbaya zaidi wazaz 2nalpa michango ya rekebisho lakini ufundishaji ni wa kubabaisha.
 
  • Hili ni tatizo ya shulenyingi kutokuwa na walimu wa kutosha.
  • Kwa kuanzia wazazi wasilianeni na mwenyekiti wa bodi ya shule, ili afanye kuwepo na kikao cha wazazi na agenda pekee iwe kuhusu maendeleo ya taaluma.
  • Bila shaka kutapatikana mahalimpa kuanzia kukabiliana na huo upungufu uliopo.
 
Back
Top Bottom