Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? ππ₯
View attachment 3669656View attachment 3669657
Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE β ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja mfuko. π―
View attachment 3669661
Kwa matumizi ya kila siku kama WhatsApp, TikTok, YouTube, Facebook na browsing, hii ni moja ya budget phones zinazostahili kuangaliwa. π₯
View attachment 3669663View attachment 3669664
Specs Zake kwa ufupi tu:
π― 120Hz Display
π 5,000mAh Battery
β‘ 15W USB-C Charging
πΎ 128GB Storage unaweza kuhifadhi vitu vingi.
π‘οΈ IP65 Protection yenye uwezo wa kuzuia vumbi na maji Kuingia kwenye simu yako.
πΆ 4G LTE kwenye intaneti ni Kasi tu.
π¬Ebu tuambie Wewe ungechagua itel A200 kwa matumizi yako y
a kila siku ?