Junior Lecturer JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 913 Reaction score 582 Oct 30, 2024 #1 kuna nini nyuma wa wake za watu kupenda sana hela,huku ikionekana kwao kutoa papuchi siyo issue kabisaa. Naomba humu ndani itangazwe siku maalumu ya kuombea ndoa za watu wote waliopo kwenye ndoa.
kuna nini nyuma wa wake za watu kupenda sana hela,huku ikionekana kwao kutoa papuchi siyo issue kabisaa. Naomba humu ndani itangazwe siku maalumu ya kuombea ndoa za watu wote waliopo kwenye ndoa.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Oct 30, 2024 #2 Tatizo ni hela?