DOKEZO Itenz secondary hutaka mwanafunzi asiyefika shule kwa siku moja kupeleka tofali 5

DOKEZO Itenz secondary hutaka mwanafunzi asiyefika shule kwa siku moja kupeleka tofali 5

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Amo90

Member
Joined
May 20, 2020
Posts
26
Reaction score
75
Itenzi secondary iliopo Mbeya jiji maeneo ya Uyole, watoto wakishindwa kufika shule wanaambiwa walete tofali za block tano kama adhabu yake. Sasa kuna wanafunzi wameshindwa kufika shule kwa siku 30 cumulatively wanatakiwa kupeleka matofali ya block zaidi ya 130+ kila mmoja sasa wazazi wao hawana uwezo wa kupeleka tofali hizo, hivyo wanafunzi wanaambiwa kama hawezi kutekeleza adhabu wahame na ni shule ya serikali.
Je ni haki hiyo, hali hiyo pia ina leta ukakasi na kupromote wanafunzi kutumia kigezo hicho kuacha shule.

Wahusika liangalieni hili kama tulisaka watoto ambao hawakuja kuriport fomu one leo tunawatimua tena kwa vitu kama tutakuwa tunapiga mark time.
 
Back
Top Bottom