Itifaki ya Kamisheni ya Kiswahili ya A.Mashariki na changamoto kwa Tz!

Itifaki ya Kamisheni ya Kiswahili ya A.Mashariki na changamoto kwa Tz!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Hayawi hayawi sasa yanakuwa,

Kile kilio cha wazalendo na waaminio katika lugha yao sasa kinaonyesha kuchanua, baada ya serikali kuridhia mswaada wa uanzishwaji wa Itifaki ya Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki

Kwamujibu wa malengo yaliyo ndani ya ITIFAKI hiyo yanatoa taswira ya kufikia hatamu za Taifa letu kuzaliwa upya!

Makao makuu ya ITIFAKI hii yatakuwa Tanzania mahali panapoaminika kuwa ndipo zalio halisi la lugha hii adhimu ya Kiswahili!

Ni changamoni gani tutakazo zikabili katika harakati hizi kama watanzania na waswahili wa Afrika Mashariki?
 
Itatusaidia xana lakin kama makao makuu ya kamishen híi inabid tujipange sana kuna nchi kama kenya inakuja kwa kasi sana na lugha ya kiswahil!
 
Back
Top Bottom