Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
Yani watu watakimbia kwa hizi fake ID??Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
Tupo baadhi ambao hatutoathirika na hili jambo.Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
Ukitumia browser utaziona zote mkuu
Utaziona ukiingia jf kwa kutumia browser
Kwan huwa mnaficha nn huko PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vitumbua na maandazi
Mungu aepushilie mbali.... Lisitokee hiliIkitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.