Sawa babu natoa kwa heshima yakoNitafurahi sana, na nitajua unanipenda na kuniheshimu
Babu tatizo lake anataka kushindana na vijana makonki likwidiBabu Asprin nilijua umeacha K Vant jameni
Mweeh babu[emoji852]Haya yote unayataka mwenyewe
HahahahaWewe hata huko PM utakua unamuongela bashite tu, wewe huna cha kuficha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona siku hizi PM yako hata sielewi tena nikienda inaniambia [emoji113][emoji113] kuna [emoji359][emoji360][emoji359][emoji360][emoji357][emoji357][emoji357]Hahahahaahhaha mie sijawahi kutumiwa pm na watu wengine. Wewe tuu ndiyo unanitumiaga na mapicha yaa... Sasa jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ushauri potofu sana huu. Unataka nidedi kwa presha urithi pensheni yangu?Kunywa gahawa babu yangu kipenzi ushazeeka[emoji2088]
Wakati yeye kashazeeka kachoka[emoji23]Babu tatizo lake anataka kushindana na vijana makonki likwidi
Hakika wakati mimi nafurahi wewe utakuwa unapata barakaSawa babu natoa kwa heshima yako
Ewaaa babe unaakili sana. Nami nilimshauri hivyo ila naona hataki kabisa kusikiliza ushauri wa wajukuu zake.Kunywa gahawa babu yangu kipenzi ushazeeka[emoji2088]
Yamekuwa hayo babu. Basi samahani endelea tu na K Vant zako[emoji23]Ushauri potofu sana huu. Unataka nidedi kwa presha urithi pensheni yangu?
[emoji120][emoji120]Hakika wakati mimi nafurahi wewe utakuwa unapata baraka
Sio yeye babe ni uzeeEwaaa babe unaakili sana. Nami nilomshauri hivyo ila naona hataki kabisa kusikiliza ushauri wa wajukuu zake.
Sasa mwambie chalii wako ailete mezani haraka sana kabla sijatoa oda ya wewe kumbania via vyako vya uzazi.Yamekuwa hayo babu. Basi samahani endelea tu na K Vant zako[emoji23]
Chemba kule jukwaa la watu wazima tu ni zaidi shidaa mtoto una mihemko ya kichokozi sasa je huko PM...naona nikiona PM yako nitazimia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ushauri potofu sana huu. Unataka nidedi kwa presha urithi pensheni yangu?
[emoji23][emoji23]Yamekuwa hayo babu. Basi samahani endelea tu na K Vant zako[emoji23]
Ewaà... hapo sawa. Sikudiliti tena mpaka Trump atakapokuwa Rais wa Syria.[emoji120][emoji120]
Sio yeye babe ni uzee
Kweli babe naona ni uzee maana sio kwa maneno hayaSasa mwambie chalii wako ailete mezani haraka sana kabla sijatoa oda ya wewe kumbania via vyako vya uzazi.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Hebu ntake radhi mkuuChemba kuke jukwaa la watu wazima tu ni zaidi shidaa mtoto una mihemko ya kichokozi sasa je huko PM...naona nikiona PM yako nitazimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio bashite basi jiwe kama sio jiwe basi CCM hunaga maongezi mengine zaidi ya hayo,Uliyemtaja simjui
Na kwanini niongelee watu humu ufikiriavyo.. kisa haswaaaaa?