Dah basi " we are on the same boatMimi bado sijawahi mbobezi huko PM kila nikienda napotea njia nataka niongozwe, bado sijawa na la kuogopa kuweka hadharani nipo clean as water
Sent using Jamii Forums mobile app
hata mim naona mzima lkn
Kama sio bashite basi jiwe kama sio jiwe basi CCM hunaga maongezi mengine zaidi ya hayo,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JPM akikutafuta mwambie wizara ya madini inanifaa sana,Ha ha haaaaaaa
Ungejua huko PM hata sio sehemu yangu muhimu humu.. kukaa kuchat na watu muda woteeeee..
Mimi na nyie kwa uzi tu..
Siku JPM akinisalimia PM nitakutaarifu[emoji847]
Wengine pm tunaona kama kituo cha policy ππππ honestly cjawah pm mtu yoyoteSisi ambao hatujui PM ni nini na inatumikaje naona haituhusu.
hahahah... hatari aseeHeheheheh[emoji23][emoji23]wewe unadhani ni vitu vizur ila wenzako watajiuliza hadi wewe[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... mimi PM yangu iko salama kabisa naweza hata kukupa acces uicheki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Insta babe vipi huko kwako pm ufanye unitumie screenshot kabla hazijaanikwa
daaaah nimecheka sana asee.... insta babe hufai [emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo siku nitazimia nitakufa nitazikwa
Vitumbua na maandazi
Nyingi, hazisemeki [emoji85][emoji85][emoji85]Kwani umefanya dhambi gani huko? [emoji12][emoji12]