Fanya unipe huo umbea na mimi ukitaka PM yako iwe salama[emoji85][emoji85][emoji85]Ni shidaa wengine tutasutwa maana si kwa umbea wengine tumetukanwa mitusi ni mambo mengi mchanganyiko tafrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya unipe huo umbea na mimi ukitaka PM yako iwe salama[emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wala hatuna bahati ya Kuitwa PM. Kwa hiyo probability ya madhara ni Zero.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah mambo ni mengi mm wakiweka ya kwangu hakika nafwaaa au mtanikuta mirembee hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitosa unasubiri kuitwaWengine wala hatuna bahati ya Kuitwa PM. Kwa hiyo probability ya madhara ni Zero.
Kwangu watakutana na Mahaba tuu.