Jf itasimama kwa muda maana
kwani nyie wadau wa PM kuna madudu gani mmeyaficha huko PM hadi mnakuwa na hofu hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha.... hakuna kitu kama hichoUnajifanya mtakatifu mbn kwenye I'd yang nyingine unakeshaga pm[emoji23][emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kwelii kama mm sijisemi hakika nitahisi rohoo kutokaa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha.... hakuna kitu kama hicho
ndio maana najiuliza huko PM mnaongeaga mambo yapi yanayowafanya muogope yawe hadharani
1-mnatakaga kupindua nchi? [emoji23][emoji23]
2-mnapangaga mipango ya kuchinja member wengine? [emoji23][emoji23]
yani bado najiuliza hofu inatoka wapi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole shoo[emoji23][emoji23][emoji23]fanya uyapunguze hata kwa kufuta na kuyakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole shoo[emoji23][emoji23][emoji23]fanya uyapunguze hata kwa kufuta na kuyakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
yupo bize PM...
Mkuu huko ni dunia nyingine kabisa ndani ya JF hii hiiKwanini unataka PM ziwe hadharani kuna ujasusi gani unaendelea huko PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ntabaki na ID yangu... SIna cha kuhofia huko
Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
heheh...
PM = JF underworld...the world of the unseen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] demiss mimi kwa kweli kwenye utakatifu sipo niwe mkweli tuWewe Jimy usijifanye mtakatifu hebu futa kauli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya kukimbia Id utarud kufuta comment[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.