[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] magari ya majambazi
Hahh kweli biashara matangazo, maana nimekuwepo toka kitambo!
Itabidi kuweka bango back bandua.
Sisi tuombe tu watufikishe huko PM maana bado hatupajui ShunieAmbao hatujawahi kupmiwa toka tunaingia jf huu uzi unatuhusu kweli
Unafaa kwa madili ya ufisadi ngoja nitakushurikisha bado mianya ya kuoiga ufisadi ipo pamoja na jiwe kudhibiti
Kwa kweli Kwenye moshi kuna moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mimi nimewasemea wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nasikia kuna alshababu wanaomba hisani kwaajili ya kutekeleza ugaidi waoMimi nasubiria hilo zoezi lianze hata leo ... ili sisi tusiotumia hiyo pm tuweze kung'amua kinacho endeleaga huko ni nini !?
Ha ha haa ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh...me thinking...nataka kutolewa kwenye reli ama kubaki kwenye reli!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah mkuu kuna siri nzito huko, kila member anasema atakufa iwapo mambo yataenda live hadharani hearlyNadhani wana tengeneza ICBM huko. So wameamua kufanya siri ili wasije kuwekewa vikwazo na marekani pamoja na washirika wake wa NATO
Sent using Jamii Forums mobile app
MeuSonhoDeConsumo
Tayari na wewe ingia cheki