Itokee Makamu wa Rais atoke chama pinzani

Ngoja nikusaidie kucomment kwenye huu uzi usio na comments.

Ni hivi makamu wa rais hana mamlaka yoyote kwenye serikali. Hana uwezo wa kutoa maelekezo kwa yeyote isipokuwa wizara ya muungano. Kwa hiyo atakuwa ceremonial leader tu. Labda atapata salute tu za askari(sina uhakika).
 
Na Samiah ilikuwaje
 
Back
Top Bottom