Itoshe Kusema Hakuna Team Bora Tanzania kama YANGA

kwa hiyo manara hajakosea kuhamia Yanga?
unatushauri na sisi tulio baki tuhamie Yanga?
 
... Simba sura zile zile miaka nenda rudi. Mbwa nzee hafundishiki mbinu mpya. Wapo wa kutosha hawakustahili kuwemo kwenye timu by now.
 
... Simba sura zile zile miaka nenda rudi. Mbwa nzee hafundishiki mbinu mpya. Wapo wa kutosha hawakustahili kuwemo kwenye timu by now.

Walistahili kuwa wapi Mzeee
 
Yanga ni Team kubwa tanzania hakuna team kama hiyo zote zilizobaki ni wapiga kelele tu na wachezaji wazeee
Ubora wa timu ni uwanjani na mashindanoni.Ligi ndo hizo zimeanza.Ligi ya mabingwa Afrika tayari ni watazamaji kama Lipuli,Pamba,Geita Gold,Ruvu Shooting na Gwambina. PL ndiyo hiyo mechi 1 mnaanza leo.Huo ubora kwa vigezo gani?
 
Mimi nilidhani mnazungumzia ubora kati ya timu za hapa Tanzania, Naona wewe unazungumzia ubora duniani! Umeondoa maana ya mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…