WAKO WAPI WATU WAKO JF-Expert Member Joined Sep 26, 2017 Posts 2,373 Reaction score 3,139 Sep 30, 2021 #21 JMF said: Mimi ni mwana msimbazi damudamu ila niseme tuu ukweli kuwa mechi ya leo tulizidiwa. Pengo la Chama na Miquessone limeonekana leo Click to expand... Kwani Chama na Miquesson ni wachezaji wa Simba!!!??
JMF said: Mimi ni mwana msimbazi damudamu ila niseme tuu ukweli kuwa mechi ya leo tulizidiwa. Pengo la Chama na Miquessone limeonekana leo Click to expand... Kwani Chama na Miquesson ni wachezaji wa Simba!!!??
N nkese JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 3,066 Reaction score 2,809 Sep 30, 2021 #22 elvischirwa said: Mimi nilidhani mnazungumzia ubora kati ya timu za hapa Tanzania, Naona wewe unazungumzia ubora duniani! Umeondoa maana ya mjadala. Click to expand... Ili uonekane tajiri unajipima na majirani wa mtaani kwenu tu? Toka nje ya boksi!
elvischirwa said: Mimi nilidhani mnazungumzia ubora kati ya timu za hapa Tanzania, Naona wewe unazungumzia ubora duniani! Umeondoa maana ya mjadala. Click to expand... Ili uonekane tajiri unajipima na majirani wa mtaani kwenu tu? Toka nje ya boksi!
Mayunga234 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 1,725 Reaction score 1,995 Sep 30, 2021 Thread starter #23 nkese said: Ili uonekane tajiri unajipima na majirani wa mtaani kwenu tu? Toka nje ya boksi! Click to expand... [emoji58]
nkese said: Ili uonekane tajiri unajipima na majirani wa mtaani kwenu tu? Toka nje ya boksi! Click to expand... [emoji58]