Hongera sana Shishi, Pole kwa maumivu...mpe na mzee pole pia.
Hivi hii december ya mwaka huu mbona watoto wengi namna hii?.....Ahaaaa, kweli April ilikuwa baridi kali.
Ile dhana ya mainfii huanza na watoto wa kike, Shishi hebu cheki na hubby wako ajiunge na chama chetu.
Hongera tena, Mungu awajalie afya njema, wewe mtoto na baba yake mtoto