Kuna ishara ya mtu kukatwa mgegedo usiku huu[emoji38] [emoji38] , nasubiri mrejesho asubuhi. [emoji23] [emoji23]Mbona kuna uzi mwingine ushaanzishwa mkuu.
Mi ndo mke wake huyo aloanzisha ni Nani au tuko wawili ngoja
Happy birthday shemela wangu wa faida na hasara.Every day with you is special but today is extra special, your the only man whom I have truly loved,truly admired and respect.
Sina mengi sana ya kuelezea unajua nnavyokupenda na nakutakia Heri ya siku ya kuzaliwa Mungu akupe miaka mingi zaidi ukiwa na Mimi of course.
Wapendwa karibuni kumtakia mkuu wa kaya happy birthday
Kumbe.Tunao mabinti wawili warembo sana majina kapuni
Asante mpenzi...Every day with you is special but today is extra special, your the only man whom I have truly loved,truly admired and respect.
Sina mengi sana ya kuelezea unajua nnavyokupenda na nakutakia Heri ya siku ya kuzaliwa Mungu akupe miaka mingi zaidi ukiwa na Mimi of course.
Wapendwa karibuni kumtakia mkuu wa kaya happy birthday
Ule ni wa mwaka jana mkuuMbona kuna uzi mwingine ushaanzishwa mkuu.
My one and only...Mi ndo mke wake huyo aloanzisha ni Nani au tuko wawili ngoja
Ya kitambo and most successful couple in tha wald...Hii couple ya kitambo....hongereni
Hbd kiwatengu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna ishara ya mtu kukatwa mgegedo usiku huu[emoji38] [emoji38] , nasubiri mrejesho asubuhi. [emoji23] [emoji23]